MCHARA GWANYA Telegram channel photo

MCHARA GWANYA

@mcharagwanyaPublic Channel

Tunatibu kansa, Ini, vidonda tumbo, Strocke, majini, uchawi, visomo vya kinga dhidi ya wachawi, wezi.Tel. +255715524946.

মেডিকেলবাংলাভারত

9

Last views

173 (173 subscribers)
সদস্য
—
Rating
33
Total Posts
Oct 17, 2026, 5:38 AM
আপডেট হয়েছে
Apr 24, 2026
Created
Stats

আপনি বাংলায় বিষয়বস্তু দেখছেন। অন্যান্য ভাষায় বিষয়বস্তু দেখতে সাইটের ভাষা পরিবর্তন করুন।

Channel Information

Channel Information
Channel NameMCHARA GWANYA
Username@mcharagwanya
Categoryমেডিকেল
Languageবাংলা
Countryভারত
সদস্য173
Channel TypePublic Channel
Created২৪ এপ্রি, ২০২৬
Last Updated১৭ অক্টো, ২০২৬ • ৫ দিন আগে
StatusActive

র্যাঙ্কিং

বিশ্বব্যাপী র্যাঙ্কিং
#371619-1009
ভাষার র্যাঙ্কিং
#969-6
ক্যাটাগরির র্যাঙ্কিং
#9292-12

অংশগ্রহণকারীদের বৃদ্ধি

মোট: 17330 Days growth: -42.3%
09/1809/2309/2810/0310/0810/1310/17
অংশগ্রহণকারীদের বৃদ্ধি - 30 Days
DateSubscribers
18:09:2026177
19:09:2026177
20:09:2026177
21:09:2026177
22:09:2026177
23:09:2026177
24:09:2026177
25:09:2026177
26:09:2026177
27:09:2026177
28:09:2026177
29:09:2026177
30:09:2026177
01:10:2026177
02:10:2026177
03:10:2026177
04:10:2026177
05:10:2026177
06:10:2026177
07:10:2026177
08:10:2026177
09:10:2026177
10:10:2026177
11:10:2026177
12:10:2026177
13:10:2026177
14:10:2026177
15:10:2026177
16:10:2026177
17:10:2026173
অংশগ্রহণকারীদের বৃদ্ধি - Weekly
DateSubscribers
Week of 20:04:2026194
Week of 27:04:2026194
Week of 04:05:2026191
Week of 11:05:2026191
Week of 18:05:2026191
Week of 25:05:2026191
Week of 01:06:2026191
Week of 08:06:2026191
Week of 15:06:2026191
Week of 22:06:2026191
Week of 29:06:2026191
Week of 06:07:2026178
Week of 13:07:2026178
Week of 20:07:2026178
Week of 27:07:2026178
Week of 03:08:2026178
Week of 10:08:2026178
Week of 17:08:2026175
Week of 24:08:2026175
Week of 31:08:2026175
Week of 07:09:2026177
Week of 14:09:2026177
Week of 21:09:2026177
Week of 28:09:2026177
Week of 05:10:2026177
Week of 12:10:2026173
অংশগ্রহণকারীদের বৃদ্ধি - Monthly
DateSubscribers
April 2026194
May 2026191
June 2026191
July 2026178
August 2026175
September 2026177
October 2026173
অংশগ্রহণকারীদের বৃদ্ধি - Yearly
DateSubscribers
2026173

সাম্প্রতিক পোস্ট

MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

১৯ অক্টো, ২০২৬, ১৪:৩৮

✍️ 📢Hii dawa ndio kiboko ya Fungus/Fangasi Aina Zote

✍️ ✅Pia Inatibu Mpaka Fangasi ya kizazi na ya Damu

✍️ 📣vile vile Inatibu Fungus ya Sehemu za Siri Ni Mujarabu Mnoo.

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/Lzy9OJvALhU?si=-cyIW1PAl1u3DGrh

@all
Video Thumbnail
9000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

১৯ অক্টো, ২০২৬, ১১:৩১

Assalaam Alaykum
Dr Bihizi herbal
#MTAMBUE DR BIHIZI MZEE WA NGAKA

Dr. Bihizi ni mtaalamu maarufu wa tiba za asili nchini Tanzania, anayejulikana kwa kutoa huduma za tiba na ushauri kupitia mitandao ya kijamii na majukwaa ya kidijitali. Anajulikana kama "Mzee wa Ngaka", akitumia neno la Kiswahili la jadi linalomaanisha mtaalamu wa tiba za asili.

🩺 Huduma Anazotoa

Dr. Bihizi hutoa huduma mbalimbali, ikiwa ni pamoja na:

Tiba za magonjwa mbalimbali: Anatoa tiba kwa magonjwa kama vile kisukari, shinikizo la damu, matatizo ya ngozi, na maambukizi ya njia ya mkojo.

Ushauri wa kiafya: Anatoa ushauri kuhusu matumizi ya mimea ya tiba, lishe bora, na mbinu za asili za kuimarisha afya.

Mafunzo ya tiba za asili: Anatoa mafunzo kwa wale wanaotaka kujifunza kuhusu tiba za asili na matumizi ya mimea ya dawa.

📞 Mawasiliano

Kwa huduma za tiba na ushauri, unaweza kuwasiliana na Dr. Bihizi kupitia nambari za simu:

+255 715 524 946

+255 787 524 946

+255 767 524 946

Pia, unaweza kufuatilia huduma zake kupitia akaunti yake ya Telegram: https://t.me/mcharagwanya .

🌿 Umuhimu wa Tiba za Asili Nchini Tanzania

Tiba za asili zina umuhimu mkubwa nchini Tanzania, hasa katika maeneo ya vijijini ambapo huduma za afya za kisasa ni adimu. Watu wengi hutegemea waganga wa jadi kwa matibabu ya magonjwa mbalimbali. Hata hivyo, waganga hawa wanakutana na changamoto za kutambuliwa kisheria na mara nyingi hutengwa na mifumo rasmi ya afya .

Ikiwa unahitaji ushauri zaidi au huduma za tiba za asili, Dr. Bihizi anaweza kuwa rasilimali muhimu kwako.

Telegram

MCHARA GWANYA

Tunatibu kansa, Ini, vidonda tumbo, Strocke, majini, uchawi, visomo vya kinga dhidi ya wachawi, wezi.Tel. +255715524946.

VIEW CHANNEL
9000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

৩০ সেপ, ২০২৬, ২০:২৫

✍️✅Hapa Doctor Bihizi Alikua Anauelezea Mti Wa M Doctori

✍️📣Dawa ya Biashara Yenye Ubora Wa Hali Ya Juu.

✍️☑️Tumia pia kwa Ajili ya Kuondoa Nuksi na Mikosi.

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/1Qb-gEYnL-0?si=f0C_Xfm0no-TP41v

@all
Video Thumbnail
55000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

০৪ সেপ, ২০২৬, ১১:৫৯

📣✍️Dr Bihizi Akiwa Pamoja Na Mwanafunzi Wake Mbobezi ktk Fani Hii Ya Tiba Wakiwa Wanatayarisha FUSHO Kali Sana Pamoja Na NYUNGU Kali Mnoo.

📢✍️Hizo Dawa ni kwa Ajili ya kutibia watu Wenye Changamoto ya Mashetani Sungu na Uchawi Ulio Shindikana.

🎙✍️Ambatana nao ili Upate kunufaika zaidi kitiba na kiafya.

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/d0TqcriiasA?si=pjhNyUdcoiqKxiip

@all
Video Thumbnail
313000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

০৪ সেপ, ২০২৬, ১১:৫৯

💯👇Hapa Dr Bihizi Alikua Ktk Ziara Ndani Ya Jiji la Nairobi..

⚠️Akatoa Faida kwa Wale wote Walio na Changamoto ya CHANGO SUGU.

💢👉Tumia Dawa hiyo Utapona Kabisa.

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙🛻
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/x-PrDbo3Fqo?is=976pzUQI-i290bcn

@all
Video Thumbnail
273000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

০৪ সেপ, ২০২৬, ১১:৫৯

📣✅Hii ilikua Ni Ziara Ya Dr Bihizi Ktk Mkoa Wa SINGIDA ndani Ya Wilaya ya IKUNGI ktk Kijiji Cha CHUNGU.

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙🛻
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/zUknGpL_1WU

@all
Video Thumbnail
197000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

২৯ আগ, ২০২৬, ০০:৩৯

✍️♻️Hii ilikua Ziara ya Dr Bihizi Mkoani Singida

✍️➡️Ambapo Kulichimbwa Mabwawa ya kufugia Samaki

✍️⚠️Pia Tutenge Muda kwa Ajili ya Allahu, kabla ya Watu Wa Allahu Hawajatenga Muda Kwa Ajili Yako.

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/n1HtAsSt-oQ?si=HNH1N6ZhLVgauW2b

@all
Video Thumbnail
156000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

২৭ আগ, ২০২৬, ১৩:৪১

✍️🕹📣Wahanga wa changamoto ya kuibiwa

✍️📢🖲wale mlio teswa kwa kuibiwa ktk nyumba zenu, shambani, madukani nk.

✍️🎙📣TUMIENI MTI MKAVU NDIO SULUHISHO LA KUWADHIBITI WEZI

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/PG5lu3a43mo?si=Pfmxi6tebotP-7Sq

@all
Video Thumbnail
112000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

১৫ আগ, ২০২৬, ১৬:৩২

✍️ ✅ MTI MKUU ndio Dawa Kubwa Mnoo Inayopambana na WANGA na WACHAWI

✍️ ♻️ MTI MKUU hukinga nyumba, shamba, duka, Shule, Ghala, Kiwanja na Gari nk Dhidi UCHAWI na WACHAWI pamoja na MASHETANI.

✍️ 💠 MTI MKUU Unaondosha Hasad Nuksi Mikosi Gere Maya Nk kwa Muda wa Siku 3 Tuh.

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/-D1jaqmD-H8?si=GtpQNFSaiz8QRCfk

@all
Video Thumbnail
245000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

১৮ জুল, ২০২৬, ১৫:২৫

✍️❕❗TATIZO LA UKOSEFU WA HAMU/HISIA KWA WANANDOA IMEKUA NI TATIZO KUBWA

✍️❗❕KIBAYA ZAIDI! HILI JAMBO LINAENDELEA KUONEKANA LA KAWAIDA

✍️❕❗HALI YA KUA NDOA NYINGI ZIKO ZINAKUFA KISHA JAMBO HILO.

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/7pZ6PIrH5R4?si=2kKzOo8Bnh2q0a_G

@all
Video Thumbnail
528000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

০৯ জুল, ২০২৬, ০৮:২৮

❗📣TANGAZO DHIDI YA WEZI

🔇Habari zenu nyote.

⛔🔷Mimi na familia yangu tulishuhudia jambo fulani kupitia dirishani kwetu kati ya saa 7:30 na saa 8:45 usiku wa kuamkia leo, hivyo nimeamua kulishirikisha ili sote tuwe waangalifu.

🛑☑️Kuna mtu aliacha kwa makusudi mtoto mchanga aliyekuwa amefungwa kwa kitambaa cheupe mbele ya geti letu. Mtoto huyo alilia kwa zaidi ya dakika 30 kisha akanyamaza. Baadaye, mwanaume mmoja aliyekuwa amevaa nguo nyeusi na kujificha nyuma ya ukuta wetu alitambaa hadi alipokuwa mtoto huyo na kumpiga tena ili aanze kulia.

❌👇Alipoona hakuna mtu anayefungua mlango wala kutoka kuangalia mtoto huyo, alitoka mafichoni, akambeba mtoto na kumhamisha kutoka barabarani. Dakika chache baadaye, teksi ilifika na wakaondoka.

💢✔️Tulimpigia simu jirani yetu na kumuuliza kama amewahi kuona jambo kama hilo karibu na nyumba yake. Alituambia kuwa hii ni mbinu mpya inayotumiwa na majambazi wenye silaha ili kuwavuta watu watoke nje ya nyumba zao na kisha kuwapora. Alisema kaka yake mkubwa aliporwa wiki iliyopita kwa kutumia mbinu hiyo hiyo.

🚫👉Tafadhali tuwe macho na waangalifu. Wajulishe marafiki na familia zenu. Asanteni.

⚠️✅Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana Na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946
468000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

০৪ জুল, ২০২৬, ১৪:০১

✍️℅~ Hii DAWA NDIO SULUHISHO LA Tatizo LA Ukosefu WA NYEGE.

✍️∆~ HADEDE IMEOKOA NDOA NYINGI KWA WAHANGA WA CHANGAMOTO HIYO

✍️√~ TUMIA ILI UFURAHIE NDOA YAKO NA MAISHA NDANI YA NDOA

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/AJpCIzFJXDQ?si=pYvtJb-zv27TUEX4

@all
Video Thumbnail
372000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

০২ জুল, ২০২৬, ১৮:২৯

✍️ & MTI MKAVU NI MUJARABU MNOO KWA AJILI YA KINGA YA WEZI/VIBAKA/MAJAMBAZI.

✍️ # PIA HUFAA KWA KUWAZIWIA WANGA NA WACHAWI KTK MAENEO YAKO WASIFIKE.

✍️ @ MTI MKAVU UKIUWEKA KTK SHAMBA, DUKA, KIWANJA, OFISI, KIBARUWANI, GHALANI, SHULENI NK. HAPO UNAKUA UMEWAZIWIA WEZI NA WACHAWI KUFIKA KTK MAENEO YAKO... NI MUJARABU KHASWAAA.

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/GmoGLUvqy2s?si=iMTw9O2mN2-yzd7p

@all
Video Thumbnail
300000

০২ জুল, ২০২৬, ০১:৩০

151000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

২৯ জুন, ২০২৬, ০১:২৫

✍️✅👉 _MTI_MKAVU_ Ndio Suluhiso la Matatizo ya Kuibiwa/WEZI pia Huondoa Changamoto ya Kuwangiwa.

✍️⛔✅ Kwa Wale Wahanga wa Hizo Changamoto Mbili Kuibiwa ktk Nyumba.. Duka.. Shamba nk. Muone Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA.

✍️❌✅ Dawa Hii Ndio KIBOKO ya WEZI Pamoja Na WANGA na WACHAWI.

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/ozATWloWVfs?si=8HD1Umeln0ENTcT8

@all
Video Thumbnail
143000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

২৪ জুন, ২০২৬, ১১:৩৯

Assalaam Alaykum.

📣“DUA YA SIKU YA ASHURA”

🔷حَسْبِيَ اللَّهُ وَنِعْمَ الْوَكِيلُ، نِعْمَ الْمَوْلَى وَنِعْمَ النَّصِيرُ، سُبْحَانَ اللَّهِ مِلْءَ الْمِيزَانِ، وَمُنْتَهَى الْعِلْمِ، وَمَبْلَغَ الرِّضَا، وَزِنَةَ الْعَرْشِ، لَا مَلْجَأَ وَلَا مَنْجَا مِنَ اللَّهِ إِلَّا إِلَيْهِ.
💯Maana yake kwa Kiswahili:
“Allah ananitosha, naye ni Mlinzi bora kabisa. Yeye ni Mola bora na Msaidizi bora. Ametakasika Allah kwa utukufu unaojaza mizani, unaofikia upeo wa elimu, kiwango cha ridhaa, na uzito wa Arshi. Hakuna mahali pa kukimbilia wala kuokoka isipokuwa kwa Allah.”

⚠️Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana Na
Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA
✅Mobile Phone
+255715524946 & +255787524946 & +255767524946 &
☑️Telegram
Https://t.me/mcharagwanya

Telegram

MCHARA GWANYA

Tunatibu kansa, Ini, vidonda tumbo, Strocke, majini, uchawi, visomo vya kinga dhidi ya wachawi, wezi.Tel. +255715524946.

VIEW CHANNEL
187000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

২১ জুন, ২০২৬, ০৭:১২

✍️~🛜 Watu wanafanyiwa Tiba kisha wanasahau kufanyiwa kinga kwa Ajili Ya Afya Zao.

✍️~🛜 Jifanyie kinga wewe na Familie Yako

✍️~🛜 ktk Jambo LA Muhimu na Kuzingatia Ni kufanya kinga Baada ya KUFANYIWA Tiba DHIDI ya Maradhi yaliyokua Yanakusibu Ni Muhimu Mnoo.

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/vaOXuf51oGU?si=F_1KwL5MzU8hINDi

@all
Video Thumbnail
208000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

১৯ জুন, ২০২৬, ০৩:৩৭

✍️~ Dawa Hii Ya CHANDA ndio mkombozi kwa Wanandoa Walio ktk CHANGAMOTO ya UKOSEFU wa HISIA/NYEGE.

✍️® HISIA / HAMU / NYEGE... Hii ndio Muhimili Wa NDOA.

✍️© Hivyo Ikitokea NYEGE ikawa na Ikhtilafu Na NDOA Inakua Mashakani.

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/5NJY8pmow6c?si=uPNb20O8IRrgDSqU

@all
Video Thumbnail
153000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

১৯ জুন, ২০২৬, ০১:৩৫

✍️❌❕Hili Tatizo LA kupotelewa Na Nyege/Hisia Ni Sugu Kwa Wanandoa Walio Wengi.

✍️❕❌ Wanandoa Walio Wengi Wanaishi Tuh ila Siala LA Hamu/Ashiq Imeshakua kizungu Mkuti.

✍️❌❕Suluhisho LA tatizo Hilo ni Ku tumia Dawa Inayoitwa { Chanda/Hadede }

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/GSRJl9PHw_0?si=drPbdKZMOq2i0ggg

@all
Video Thumbnail
115000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

১৬ জুন, ২০২৬, ১৩:৫৬

✍️ 💯 Hili Tatizo LA Ukosefu Wa HAMU/NYEGE/HISIA Ni Changamoto Moto Kubwa Kwa WANANDOA walio Wengi.

✍️ 💯 Tumia DAWA Hii Ni Nzuri Mnoo.

✍️ 💯 Kwa Walio Sumbuka kwa Tatizo Hilo Tumia Huu Mujaraabu

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/oZQxSETbrQw?si=TjAj4JY7lgZvnWXi

@all
Video Thumbnail
139000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

১৬ জুন, ২০২৬, ১১:২৩

✍️ ✅ Dawa ya kuondosha Na kuziwia kutupiwa vitu vibaya

✍️ 🔷 Pia ni Nzuri kwa Kutibu vitu kutembea mwilini

✍️ 👇Hufaa Sana kwa Wanaosumbuliwa na waenda Usiku.

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/Jk8HVVwe9mo?si=a8MFpUGR-U4pgjSl

@all
Video Thumbnail
111000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

১৪ জুন, ২০২৬, ০০:২৬

✅✍️ Kitongotongo/Kitatelante... Ni Dawa Nzuri Mnoo kwa Tiba Ya Chango Sungu LA Akina Mama.

❗✍️ Pia Dawa Hii Ni Nzuri Kwa Kutibia Nguvu Za Kiume Mujarabu.

✔️✍️ Hufaa kwa Tiba ya Malaria Kali Pamoja Na Typhoid.

📣💯Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA +255715524946 & +255787524946 & +255767524946

🚗🏍🚂🚙?
Tembelea Channel Zetu za "DR BIHIZI TV" & "NGAKA TV" kwa Ajili ya Kupata Faida za Kitiba na Kiafya Pamoja Na Kuelimika Kiujumla...👇👇👇

https://youtu.be/at4IRpykDN4?si=AJaoLwDxaNO3O8Uo

@all
Video Thumbnail
125000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

২৪ এপ্রি, ২০২৬, ১৩:১৯

Assalaam Alaykum
Dr Bihizi +255715524946
FIGO SEHEMU YA #10

🔥 Mawe kwenye figo… maumivu ya ghafla yanaweza kumwangusha hata mtu mwenye nguvu!
Watu wengi hudhani maumivu ya ubavuni ni mkazo wa misuli tu…
Lakini wakati mwingine sababu huwa ni fuwele ndogo zilizotengenezwa kimya kimya ndani ya figo.
Zinapoanza kusogea… maumivu hutokea kwa nguvu sana.

🩺 Mawe ya figo ni nini? (Kidney stone)
Ni mabonge magumu yanayotokana na mkusanyiko wa chumvi na madini ndani ya figo, kama vile kalsiamu au tindikali ya uric (uric acid).

💡 Nini hutokea mwilini hasa?

1️⃣ Mkojo kuwa na mkusanyiko mkubwa wa chumvi
Ukikunywa maji kidogo, kiwango cha chumvi huongezeka na kuanza kuganda kama fuwele.
2️⃣ Kutengenezwa kwa fuwele ndogo
Zinaweza kukua polepole bila dalili wazi.
3️⃣ Kuziba kwa mrija wa mkojo (ureter)
Jiwe linaposogea linaweza kusababisha maumivu makali sana yanayoitwa colic ya figo (renal colic).
4️⃣ Uwezekano wa kurudia
Usipobadilisha mtindo wa maisha, yanaweza kurudi tena.

✨ Dalili za kawaida:
Maumivu makali ubavuni yanayoenea hadi tumboni au mapajani
Kuwaka wakati wa kukojoa
Damu kwenye mkojo wakati mwingine
Kichefuchefu au kutapika

⚠️ Maumivu huja kwa mawimbi makali.

🟢 Hatua za kujikinga:
✔️ Kunywa lita 2–3 za maji kwa siku (kulingana na ushauri wa daktari).
✔️ Punguza matumizi ya chumvi nyingi.
✔️ Kula protini ya wanyama kwa kiasi.
✔️ Dumisha uzito wa afya.
✔️ Fanya uchunguzi wa aina ya jiwe likitoka ili ujue lishe sahihi.

🟡 Vyakula vinavyosaidia:
Ndimu (husaidia kupunguza kutengenezwa kwa baadhi ya aina za mawe) – mboga mbichi – maji mengi – matunda yenye maji mengi.

🔴 Punguza:
Vinywaji vya soda – chumvi kupita kiasi – protini ya wanyama kupita kiasi – kunywa maji kidogo.

💚 Ujumbe muhimu:
Mawe ya figo yanaweza kuwa na maumivu makali… lakini mara nyingi yanaweza kuzuilika.
Maji ni mstari wa kwanza wa ulinzi.

⚠️ Muhimu: Maumivu makali ya ghafla au homa inayoambatana na maumivu yanahitaji kumwona daktari haraka.
Shiriki ujumbe huu ili kuwafikishia wengine manufaa 🌿

🇹🇿Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana Na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA

TiGo/Yas Tz
+255715524946
Airtel Tz
+255787524946
Vodacom Tz
+255767524946
& #
Airtel KE
+254787325728
Safaricom KE
+254703661107
🔗
http://pingtop.com/@mcharagwanya
&
Telegram Channel
389000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

২৪ এপ্রি, ২০২৬, ১৩:১৯

Assalaam Alaykum
Dr Bihizi +255715524946
DUA KWA AJILI YA NDOA KWA MWANAMKE NA KWA MWANAMME NI MUJARABU MNOO

للزواج الفتاة أو الرجل
بعد منتصف الليل وانتم على ووضوء تصلي ركعتين لله تعالى وبعدها تصلي على محمد وال محمد ١٩ مرة
وتقرأ البسملة الف مرة بنية الزواج وبعدها تصلي على محمد وال محمد ١٩ مرة لمدة ١٤ يوم تفعل ذلك.

“Kwa ajili ya ndoa (kwa msichana au mwanaume):
Baada ya nusu ya usiku, ukiwa katika hali ya udhu, swali rakaa mbili kwa ajili ya Mwenyezi Mungu.
Baada ya hapo mswalie Muhammad na Aali Muhammad mara 19.
Kisha soma Basmala (‘Bismillāh ir-Raḥmān ir-Raḥīm’) mara 1000 kwa nia ya ndoa.
Halafu tena mswalie Muhammad na Aali Muhammad mara 19.
Fanya hivyo kwa muda wa siku 14 mfululizo.”

1️⃣ Dua ya kupata mke mwema
اللَّهُمَّ هَبْ لِي مِنْ لَدُنْكَ زَوْجَةً صَالِحَةً، هَيِّنَةً لِيِّنَةً، مَرْفُوعًا ذِكْرُهَا فِي السَّمَاءِ وَالْأَرْضِ، وَارْزُقْنِي مِنْهَا ذُرِّيَّةً طَيِّبَةً عَاجِلًا غَيْرَ آجِلٍ، إِنَّكَ سَمِيعُ الدُّعَاءِ. 🤲

2️⃣ Dua ya kupata mume mwema
اللَّهُمَّ هَبْ لِي مِنْ لَدُنْكَ زَوْجًا صَالِحًا، تَقِيًّا نَقِيًّا، حَسَنَ الْخُلُقِ، لَيِّنَ الْقَلْبِ، مَرْفُوعَ الذِّكْرِ فِي السَّمَاءِ وَالْأَرْضِ، وَارْزُقْنِي مِنْهُ ذُرِّيَّةً طَيِّبَةً عَاجِلًا غَيْرَ آجِلٍ، إِنَّكَ سَمِيعُ الدُّعَاءِ. 🤲

254000

199000

Wakati vitu vitamu vingine huozesha meno, utamu wa tende huzuia uozaji wa meno.

• KUFUNGUA CHOO

Kwa tatizo sugu na la muda mrefu la ukosefu wa choo, kunywa juice ya tende na choo kitafunguka na kuwa laini. Pia kwa wenye matatizo ya kupata Choo chepesi mno (kuharisha) tatizo litakwisha

• KUIMARISHA MIFUPA

Tende inatibu kiasi Kikubwa cha calcium ambayo ni muhimu kwa afya ya mifupa

• KUBORESHA NURU YA MACHO

Tende vile vile ina vitamin B1, B2, B3, B5, A1, na C, virutubisho ambavyo ni muhimu kwa kuimarisha nuru ya macho na kuondo tatizo la kutokuona usiku (night blindness).

Kwa ujumla faida za tende ni nyingi na unaweza kuila tende kwa namna mbalimbali, kama vile kuchanganya na maziwa, kuchanganya na mkate au vitafunwa vingine. Ifanye tende kuwa sehemu ya mlo wako wa kila siku ili ujipatie faida hizi na nyingine nyingi.

TAHADHARI katika kula tende kama chakula tu kula tende zozote. lakin kwa tiba kula tende zenye ubora wa juu usivamie makoroma.

🇹🇿Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana Na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA

TiGo/Yas Tz
+255715524946
Airtel Tz
+255787524946
Vodacom Tz
+255767524946
& #
Airtel KE
+254787325728
Safaricom KE
+254703661107
🔗
http://pingtop.com/@mcharagwanya
&
Telegram Channel
117000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

২৪ এপ্রি, ২০২৬, ১৩:১৯

Assalaam Alaykum

ZIJUE FAIDA ZA TENDE KIAFYA

Tunda hili la tende limesheheni utajiri wa kiafya ya binadam Baadh ya utajiri uliopo katika tende Wanga, Vitamin B1 B2 B3, Protini, nyuzi nyuzi (fibers), Magnesium, potassium na mafuta hizi ni baadh ya vilivyomo katika Tende

UANDAAJI

Viungo

• Tende
• Maziwa / tui zito la Nazi
• Tunda parachichi / ndizi au lolote (optional)
• Karanga unaweza pia kutumia almonds(lozi),korosho

NB: Katika utengenezaji viungo ni ubunifu wako

Namna ya kutengeza.

• Toa tende makokwa
• Weka katika blender pamoja na viungo ulivyochagua
• Saga hadi iwe laini iwe kama uji mzito kiasi
• Weka kwa friji ipate baridi kidogo

MATUMIZ:

Utatumia asubuh na jioni usawa wa kikombe cha chai au glasi

(i) Unaweza ukatumia Juice ya tende kwa maana ya tende ulizosaga pamoja na tende ambayo haikusagwa zote ukatumia pamoja

(ii) Kama utashindwa kusaga loweka tende hizo kisha utakunywa maji yake na tende utakula

FAIDA ZAKE

• KWA WANAWAKE WAJAWAZITO.

Mwanamke mjamzito akila tende ni chakula kizuri sana kwake humfanya awe na afya nzuri yeye na mtoto alie tumboni .Mwanamama mjamzito anatakiwa kutumia tende kama chakula katika kipindi chote cha ujauzito au ikiwa bado wiki au mwezi kabla ya kujifungua hii humsaidia kwa kumrahisishia kuzaa kwa wepesi lakini pia wakati anapokuwa na uchungu humsaidia kupunguza makali ya uchungu wa uzazu Ulaji wa tende kwa mama mjamzito humsaidia pia katika kukuza kizazi na kutomfanya amwage dam nyingi wakati wa kujifungua na hata baada ya kujifungua anatakiwa aendelea kula kwasabab ya kumuondolea maumivu ya uzazi pamoja na kusafisha kizazi

• MMENG'ENYO WA CHAKULA

Ulaji wa tende huimarisha na kuboresha mfumo wa usagaji chakula tumboni, hivyo utaondokana na matatizo ya ukosefu wa choo, au matatizo ya kupata choo kigumu kinachosababisha maumivu wakati wa kujisaidia. Pia ndani ya tende kuna virutubisho vya ‘amino acids’ ambavyo ni muhimu mwilini.

• UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME

Kwa matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume, mchanganyiko maalum wa tende, maziwa, asali na unga wa hiriki vinaweza kuondoa tatizo lako. Chukua kiasi cha kiganja kimoja cha tende, loweka kwenye maziwa ya mbuzi kiasi cha lita moja na yakae usiku kucha. Asubuhi, zisage tende hizo kwenye maziwa hayo hadi zichangayike, kisha weka asali kiasi cha vijiko vitatu au vinne vikubwa pamoja na unga wa hiriki, kiasi cha nusu kijiko kidogo. Kisha kunywa mchangayiko huo kila siku hadi utakapoona mabadiliko ya kuridhisha.

• KUUPA NGUVU MWILI

Ukila tende, mwili utapata nguvu na kukuondolea uchovu ndani ya nusu saa tu, kwa sababu tende ina virutubisho vya sukari asilia kama vile ‘glucose’, ‘sucrose’ na ‘fructose’. Unapojisikia mchovu, badala ya kunywa vinywaji baridi vinavyodai kuongeza nguvu, kula tende, hata kiasi cha punje tatu kinatosha. Kwa wafunga saumu, ndiyo maana MTUME WETU MUHAMMAD SWALAAH LLAHU ALAYHI WA SALAM anatumbia ktk moja ya Hadithi zake kuanza kufungua basi ufungue kwa tende ili kuurejeshea mwili wako nguvu iliyopotea siku nzima.

• NZURI KWA AFYA YA UBONGO

Tende ina madini pia aina ya ‘potassium’ na kiasi kidogo cha chumvi (sodium). Madini haya husaidia uimarishaji wa mishipa ya fahamu. Watafiti wamegundua kwamba ulaji kiasi wa ‘potassium’ huweza kumuepusha mtu na kupatwa na kiharusi (stroke).

• NZURI KWA AFYA YA MOYO

Tende husaidia kupunguza lehemu (cholesterol) mwilini (LDL Cholesterol). Hivyo ni nzuri kwa wenye shinikizo la damu (high / low blood pressure)

• KUONGEZA DAMU MWILINI

Kwa wale wenye matatizo ya ugonjwa wa kukauka / kupungukiwa damu mwilini (anemia), wanaweza kupata ahueni kwa kula tende kwa wingi ambayo ina kiwango cha kutosha cha madini ya chuma ambayo huhitajika katika utengenezaji wa damu mwilini.

• DAWA YA UNENE

Tende ni dawa ya unene, kwa wale wenye matatizo ya wembamba wa kupindukia na wanataka kuongeza uzito, ulaji wa tende kila siku unaweza kuwasaidia. Lakini hii ina maana kwamba, wale wanaohitaji kupunguza uzito, ulaji wa tende kwa wingi hauwezi kuwafaa.

• HUZUIA KUTOBOKA KWA MENO
113000
MCHARA GWANYA logo
MCHARA GWANYA

২৪ এপ্রি, ২০২৬, ১৩:১৯

Assalaam Alaykum
Dr Bihizi +255715524946
FIGO SEHEMU YA #9

🧩 MUHTASARI RAHISI WA TOFAUTI ZA FIGO KWA WANAUME NA WANAWAKE

👨‍⚕️ NANI HUATHIRIKA ZAIDI?

Wanawake 👉 hupata mara nyingi maambukizi ya mkojo (UTI) na matatizo ya mwanzo ya figo
Wanaume 👉 hupata mara nyingi uharibifu mkubwa wa figo na kidney failure

👩 KWA WANAWAKE

Huonekana zaidi:
Kuwashwa wakati wa kukojoa
Maumivu ya chini ya tumbo
Mkojo wenye harufu mbaya
Hedhi kubadilika
Shida za mimba
Uvimbe wa miguu/uso (ikiwa figo zimeharibika)
👉 Mara nyingi huanza kama UTI, lakini ikipuuzwa huweza kuathiri figo.

👨 KWA WANAUME

Huonekana zaidi:
Presha ya damu
Kisukari
Kupungua nguvu za kiume
Mkojo wenye povu
Miguu kuvimba
Figo kushindwa kufanya kazi (dialysis)
👉 Wanaume wengi huchelewa kwenda hospitali, ndiyo maana figo huathirika zaidi.

⚠️ ISHARA ZA HATARI KWA WOTE (USIPUUZE)

Nenda hospitali haraka ukiona:
Miguu au uso kuvimba sana
Mkojo kupungua sana au kukosa
Mkojo mwekundu au wenye damu
Kichefuchefu na kutapika sana
Kupumua kwa shida
Kuchanganyikiwa akili

🛡️ JINSI YA KUJILINDA (MWONGOZO WA HARAKA)

✔ Kunywa maji mengi
✔ Pima presha na sukari mara kwa mara
✔ Tibu UTI mapema (hasa wanawake)
✔ Epuka dawa za maumivu kila siku
✔ Punguza chumvi na pombe
✔ Fanya kipimo cha figo angalau mara 1 kwa mwaka
🤝

🇹🇿Kwa Tiba Na Ushauri Wasiliana Na Dr Bihizi Mzee Wa NGAKA

TiGo/Yas Tz
+255715524946
Airtel Tz
+255787524946
Vodacom Tz
+255767524946
& #
Airtel KE
+254787325728
Safaricom KE
+254703661107
🔗
http://pingtop.com/@mcharagwanya
&
Telegram Channel
118000

Showing 30 of 33 posts

রেটিং

লগইন প্রয়োজন

Frequently Asked Questions

MCHARA GWANYA টেলিগ্রাম চ্যানেল কী বিষয়ে?+

MCHARA GWANYA (@mcharagwanya) tgdio-এ মেডিকেল ক্যাটাগরিতে তালিকাভুক্ত একটি টেলিগ্রাম চ্যানেল। র‍্যাঙ্কিং, রেটিং, রিভিউ ও সাম্প্রতিক পোস্ট দেখে সাবস্ক্রাইব করার আগে সিদ্ধান্ত নিন। এখন tgdio-এ প্রায় ১৭৩ সাবস্ক্রাইবার আছে।

আমি কীভাবে MCHARA GWANYA (@mcharagwanya) জয়েন করব?+

tgdio-এ চ্যানেল প্রোফাইল খুলে Join / Open in Telegram দিয়ে @mcharagwanya-এ বিনামূল্যে সাবস্ক্রাইব করুন।

MCHARA GWANYA কি ভালো মেডিকেল চ্যানেল?+

tgdio-এ জয়েনের আগে MCHARA GWANYA-এর রেটিং, রিভিউ, র‍্যাঙ্কিং ও পোস্ট দেখুন। এখন tgdio-এ প্রায় ১৭৩ সাবস্ক্রাইবার আছে। একই মেডিকেল চ্যানেলের সাথে তুলনা করুন।

MCHARA GWANYA-এর স্ট্যাটস ও পোস্ট কোথায় দেখব?+

tgdio-এ @mcharagwanya পেজ খুলুন — সাবস্ক্রাইবার স্ট্যাটস, র‍্যাঙ্কিং, রেটিং ও পোস্ট। Stats লিঙ্ক দিয়ে গ্রোথ চার্ট দেখুন।